TOTTENHAM Hot Spurs wanapigana vikumbo na baadhi ya klabu zinazomfukuzia kiungo wa Villareal, Carlos Ramos.
Lakini wanalazimika kuweka dau la ziada la pauni mil 24 kwa ajili ya jembe hilo.
Ramos anahusishwa kujiunga na Totenham katika usajili ujao wa dirisha la majira ya joto.
United wanatajwa katika dili la kumfukuzia kiungo huyo wa Atletic Madrid kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.
Awali Spurs waliweka mezani dau la pauni mil 15 kwa ajili ya Carlos Ramos kabla ya Athletico hawajaweka bayana kuwa dau la kiungo huyo ni 23 mil.
Totenham wanakomaa na dua la awali lakini wakaweka bayana kuwa wanaweza wakaongeza kiasi cha pauni mil 2 ili dili kufikia pauni mil 12.
Ramos amekuwa katika kiwango boira katika kipindi cha miaka miwili hii na kuwa na uhakika wakuwa na nabaya kudumu katika kikosi cha kwanza.
Comments
Post a Comment