SOUTHAMPTON WAANDAA OFA YA PAUNI MIL 20 KWA AJILI YA KUMVUTA MAMADOU SAKHO

SOUTHAMPTON WAANDAA OFA YA PAUNI MIL 20 KWA AJILI YA KUMVUTA MAMADOU SAKHO

SOUTHAMPTON wanaandaa ofa ya pauni mil 20 kwa ajili ya mlinzi wa Liverpool, Mamadou Sakho, 27, ambaye alikuwa vizuri wakati akicheza kwa mkopo Crystal Palace.

Comments