MANCHESTER UNITED YAMBEMBELEZA MARCOS ROJO ABAKI OLD TRAFFORD KLABU ya Manchester United imemsihi mchezaji wake Marcos Rojo mwenye miaka 27 kuendelea kubaki na tayari wamemwandalia mkataba wa mwaka mmoja zaidi baada ya huu wa sasa unaomalizika mwaka 2019.
Comments
Post a Comment