MANCHESTER UNITED WAANZA KUTETA NA FABINHO ILI KUMVUTA OLD TRAFFORD

MANCHESTER UNITED WAANZA KUTETA NA FABINHO ILI KUMVUTA OLD TRAFFORD
TAARIFA zilizopo ni kwamba tayari viongozi wa Manchester United wameshaanza mazungumzo na staa wa timu ya taifa ya Brazil, Fabinho.

Mbali na ulinzi, Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 23, amekuwa akifanya vizuri anapocheza kwenye eneo la kiungo na anatajwa kuwa na thamani ya pauni mil 35.

Comments