Man U Yamchapa Mtu 3-1, Yapanda Nafasi ya 5



Man U Yamchapa Mtu 3-1, Yapanda Nafasi ya 5


Marouane Fellaini (kushoto) akishangilia na Jesse Lingard (kulia) baada ya wote kufunga katika ushindi wa Manchester United wa 3-1 dhidi ya wenyeji Middlesbrough leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside. Fellaini alifunga la kwanza dakika ya 30, Lingard la pili dakika ya 62 na la tatu lilifungwa na Antonio Valencia dakika ya 90 na ushei, wakati la kufutia machozi la Boro lilifungwa na Rudy Gestede dakika ya 77.


Comments