KIONGO            wa Bayern Munich, Franck Ribery raia wa Ufaransa amekanusha            vikali juu ya uvumi wa kutaka kuondoka kwenye ligi ya            Bridesliga wakati wa majira ya joto msimu ujao.
        Rabery ambaye ameshinda jumla ya mataji              18 tangu atue kwenye klabu hiyo amesisitiza kwamba alikataa              ofa nyingi kubwa kabla ya kufanya maamuzi ya kujiunga              mihamba hiyo ya Ujerumani.
        
Comments
Post a Comment