DAVID BECCKHAM AMPA JACK WILSHERE USHAURI WA BURE... amtaka akubali kujiunga na AC Milan mwishoni mwa msimu
DAVID            Beckham, winga aliyewika kwenye timu ya taifa ya England,            amemtaka kiungo Jack Wilshere kukubali ofa ya kujiunga na            klabu ya AC Milan mwishoni mwa msimu huu baada ya mambo            kumuendea kombo kwenye Ligi Kuu ya England.
        
Comments
Post a Comment