IMEFAHAMIKA kuwa klabu ya Barcelona imeanza mipango ya kumchukua kocha wa Juventus ya Italia, Massimiliano Allegri.
Barca wanasaka kocha atakayemrithi Luis Enrique ambaye ameshaweka wazi kuwa ataihama timu hiyo mwishoni mwa msimu huu utakaomalizika Mei, mwaka huu.
Comments
Post a Comment