KLABU ya Manchester City imewatuliza              mashabiki wake ikisema haina mpango wa kumtimua mpiga mabao              wake, Sergio Aguero licha ya kuanza kazi vizuri kwa              chipukizi kutoka Brazil Gabiel Jesus.
        Baada ya kutua kwa Jeasus mwenye miaka              19, wengi wameanza kuhisi kuwa Aguero mwenye miaka 28,              atauzwa kwani amepoteza makali yake lakini klabu hiyo              imeweka bayana kuwa haitamuuza.
        
Comments
Post a Comment