KIPA SCHMEICHEL ASEMA HATAIACHA LEICESTER HATA IKUISHUKA DARAJA



KIPA SCHMEICHEL ASEMA HATAIACHA LEICESTER HATA IKUISHUKA DARAJA
KIPA namba moja wa Leicester City, Kasper Schmeichel amesema hata kama timu hiyo itashuka daraja haitaihama lakini akawataka wenzake kubadilika na kupambana.


Schmeichel amewaonya walinzi wa timu hiyo kutorejea kucheza ovyo katika mechi zijazo baada ya mabingwa hao watetezi kuchapwa na Man United 3-0 akisema wakifanya utani watashuka daraja.


Comments