KANTE ASEMA DIDIER DROGBA NDIE ALIYEMTOA SOKA LA RIDHAA NA KUMPELEKA LA KULIPWA

KANTE ASEMA DIDIER DROGBA NDIE ALIYEMTOA SOKA LA RIDHAA NA KUMPELEKA LA KULIPWA
KIUNGO wa Chelsea, N'Golo Kante ameweka wazi kuwa alikuwa akivutiwa kwa kiasi kikubwa na mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Didier Drogba na ndie mtu sahihi aliyemshawishi kutoka soka la ridhaa hadi kulipwa.

Comments