DROO YA EUROPA RAUNDI YA 16 BORA LIVE.


DROO YA EUROPA RAUNDI YA 16 BORA LIVE.

Mchezaji wa zamani wa Bayernna Borussia Gladbach, Patrik Anderssen ni mgeni rasmi leo, huyu alitwaa taji la klabu bingwa Ulaya na Bayern msimu wa mwaka 2000/01 baada ya kuichapa Valencia.

==

Vipira vinazungushwa…

====

CELTA VIGO v KRASNODAR

====

APOEL v ANDERLECHT

====

SCHALKE v MONCHENGLADBACH

====

LYON v ROMA

====

ROSTOV v MAN UTD

====

OLYMPIACOS v BESIKTAS

====

GENT v GENK

====

COPENHAGEN v AJAX

====

 



Comments