BAYER LIVERKUSEN YAITUNISHIA MISULI CHELSEA




BAYER LIVERKUSEN YAITUNISHIA MISULI CHELSEA
KLABU ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani ni kama imeanza kuitunishia Chelsea baada ya kutangaza nia ya kutaka kumsajili mchezaji anayefukuziwa na matajiri hao wa London.


Leverkusen imepiga hodi nchini Uturuki ikimtaka kiungo Hakan Calhanoglu mwenye miaka 22 ambaye Chelsea wanamtaka kwa udi na uvumba.


Comments