WINGA chipukizi wa Benfika ya Ureno, Goncalo Guedes mwenye miaka 20 ameridhi kuingia Old Trafford.
Taalifa zilizo thibitisha na ofisa mmoja wa Benica ya Ureno zimesema kuwa mchezaji huyo anajiandaa kuaga baada ya ofa ya fauni mil 26 kukubaliwa na uongozi wa klabu yake.
Comments
Post a Comment