BORUSSIA DORTMUND YAMPANDISHA CHATI KINDA WA AIK SOLNA

BORUSSIA DORTMUND YAMPANDISHA CHATI KINDA WA AIK SOLNA
MSHAMBULIAJI kinda wa AIK Solna, Alexander Isak raia wa Sweden sasa ataua na wigo wa kuchagua timu ya kujinga nayo.

Hii ni baadas ya Borussia Dortmund yaUjerumani nayo kujitosa kuania saini yake sawa na Everton ya Uingereza.

Comments