KIUNGO fundi wa              zamani nahodha wa Barcelona Xavi ameshangazwa na madai ya              kukwepa kodi yanayo mkabili winga wa Real Madrid Cristiano              Ronaldo nyota huyo wa Madrid alijikuta kwenye tuhuma nzito              na kukwepa kodi kwa mujibu wa taarifa mbalimmbali za vyombo              vya habari hivi karibuni.
        
Comments
Post a Comment