KOCHA wa Klabu ya Manchester United Jose Mourinho ameweka wazi kuwa anataka kuboresha kikosi chake hasa katika safu ya ulinzi hivyo amedai kuvutiwa na nyota wa klabu ya Atletico Madrid, Jose Gimenez kwa ajili ya usajili wa Januari.
Comments
Post a Comment