KLABU ya              Fenerbahce imedai kuwa ipo tayari kupambana na klabu ya              Arsenal kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu ya PSG,              Hatem Ben Arfa kwa ajili ya usajili wa Januari mwakani. Hadi              sasa mchezai huyo amecheza jumla ya dakika 387 msimu mzima              ndani ya PSG. 
        
Comments
Post a Comment