FENERBAHCE YATOA JEZI MAALUM YA MOUSSA SOW KUPONGEZA GOLI LAKE "TAMU" DHIDI YA MAN UNITED

FENERBAHCE YATOA JEZI MAALUM YA MOUSSA SOW KUPONGEZA GOLI LAKE "TAMU" DHIDI YA MAN UNITED
KLABU ya Fenerbahce imetoa jezi maalum ya Moussa Sow ambay0 namba ya mgongoni na jina vimepinduliwa chini juu kwa ajili ya kupongeza goli lake alilofunga kwa kupinduka tiktaka katika mechi waliyolala 2-1 dhidi ya Man Utd kwenye Ligi ya Europa.

Comments