Kipaji hakipotea hasa pale kinapoandaliwa mapema kama wanavyofanya wenzetu wa Ulaya. Hizi sasa tunashuhudia jinsi mtoto wa Zidane anaita Enzo anavyokua vizuri kwenye club ya Real Madrid. Kipaji cha baba yake hakipo mbali na makuzi mazuri kisoka yanachangia pia.
Danny Mrwanda ame post picha kwenye ukurasa wake wa Facebook akionekana kamba amewapa wanae watatu zawadi za mpira proffesional wa soka. Mtoto wake wa kwanza ni wa kiume ambae ni dhahiri kama kuanza kucheza soka anaweza kuanza hata sasa hivi kwenye level ya academy.
Jinsi Danny Mrwanda anavyokuaza wanae kwenye mazingira ya soka inawezekana siku moja jina la Mrwanda likarudi tena kwenye soka kama inavyokua kama Manyika.
Comments
Post a Comment