Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bw. Leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka kwa Kampuni ya Star Times Tanzania leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Leo. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM. (P.T)
Comments
Post a Comment