Tetesi za January: Antoine Griezmann kuelekea Manchester United.


Tetesi za January: Antoine Griezmann kuelekea Manchester United.

screen-shot-2016-11-19-at-3-37-19-pmRais wa Real Madrid Enrique Cerezo ameendelea kupangua nafasi za mchezaji wa Griezmann kuhama club hiyo ukifika muda dirisha dogo mwezi January. Mchezaji huyu ambae alifanya vizuri kwenye michuano ya Euro ana husishwa sana na kujiunga na club ya Real Madrid au Manchester United.

Kwa sehemu kubwa imetajwa kwamba Antoine inawezekana zaidi kujiunga na mchezaji mwenzake wa Ufaransa Pogba kama kweli akihama club hiyo.

Rais wa club hiyo ameongea na gazeti la Onda Cero na kukanusha kila kitu na kusema, "Siamini kama kuna nafasi yoyote kwa Griezmann kuenda Real Madrid au club yoyote zaidi ya kubaki hapa"



Comments