MSHAMBULIAJI mahiri wa zamani wa Manchester United na England, Teddy Sheringham amesema kwake yeye kipa Hugo Lloris ndiye kipa bora zaidi kuwahi kuidakia Tottenham.
Shmpongeza kocha wa Spur, Mauricio Pochettino kwa uamuzi wake wa kumpa unahodha kipa huyo Mfaransa akisema anafanya mambo makubwa White Hart Lane kutokana na uwezo na juhudi binafsi.
Comments
Post a Comment