RAIS wa Lyon ya              Ufaransa, Jean Michel Aulas amesema ili kuzikata maini timu              zinazomfukuzia mshambuliaji wake tegemeo Alexandre              Lacazette, anamuongezea mkataba mpya.
        Alisema, moja ya              klabu ambazo zinaonekana kumbabaikia sana Lacazette mwenye              miaka 25, ni Westham United ya Ligi Kuu England.
        
Comments
Post a Comment