HABARI zinasema kuwa kocha Rafa Benitez amesema hayuko tayari kumuuza mshasmbuliaji Alexksandar Mitrovic katika usajili wa Januari.
Badala yake Benitez ataingia sokoni kununua wachezaji watakaowezesha Newcastle United kurejea Ligi Kuu England.
Comments
Post a Comment