PSG YAPANIA "KUMCHUMBIA" MSHAMBULIAJI ROMELU LUKAKU WA EVERTON

PSG YAPANIA "KUMCHUMBIA" MSHAMBULIAJI ROMELU LUKAKU WA EVERTON
PARIS Saint-Germain imepania kuwa ya kwanza kutuma ofa ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku wakati dirisha dogo litakapofunguliwa mwezi Januari, mwakani.

Comments