MAGOLI maridadi!! Ndivyo alivyosema huku akitabasamu kocha wa Manchester City Pep Guardiola mara baada ya mchezo ulioisha kwa timu yake kuilaza Burnley 2-1 kwenye dimba la Turf Moor.
Wenyeji walianza kwa bao la kuongoza la dakika ya 14 mfungaji akiwa Dean Marney, lakini City wakafunga katika dakika ya 34 na 60 magoli yote yakifungwa na Sergio Aguero.
BURNLEY (4-2-3-1): Robinson 6.5; Lowton 6.5, Keane 7, Mee 6.5, Ward 6; Marney 7 (Arfield 40, 6.5), Defour 6 (Barnes 82); Gudmundsson 6.5 (Tarkowski 43), Hendrick 6, Boyd 6.5; Vokes 6. Subs: Pope, Gray, Flanagan, Kightly.
MAN CITY (4-2-3-1): Bravo 7; Sagna 6.5, Otamendi 6, Kolarov 6.5, Clichy 6; Fernando 6.5, Fernandinho 7; Sterling 6 (Sane 58, 6), Toure 6.5, Nolito 6.5 (De Bruyne 79, 6); Aguero 7.5 (Navas 89). Subs: Caballero, Zabaleta, Silva, Iheanacho.
Comments
Post a Comment