LIVERPOOL imekaa kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kuikwanyua Watford 6-1 kwa mabao ya Sadio Mane aliyefunga mara mbili, Philippe Coutinho, Emre Can, Jose Holebas na Roberto Firmino.
Watford iliyozidiwa kila idara ilipata bao lake pekee dakika ya mwisho wa mchezo kupitia kwa Georginio Wijnaldum.
Sadio Mane (kulia) akifunga kwa kichwa kitamu dakika ya 27
Comments
Post a Comment