KOLO TOURE AMTAKA MDOGO WAKE YAYA TOURE KUSEPA MAN CITY NA KUTUA MARSEILLE ILI KUOKOA KIPAJI ALICHONACHO
KAKA wa kiungo              Yaya Toure, Kolo Toure amemtaka ndugu yake huyo kuondoka              Manchester City na kutua Marseille ili kulinda kipaji chake.
        Yaya ameshindwa              kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza pale Etihad              baada ya vita ya maneno kati ya wakala wake, Dimitri Seluk              na kocha Pep Guardiola.
        
Comments
Post a Comment