KOCHA wa              Manchester United Jose Mourinho inasemekana ametenga pauni              mil 26 ili kumnyakua mlinzi wa Benfica ya Ureno Victor              Lindelof.
        Mchezaji huyo              chipukizi wa Sweden ndio kwanza ametimiza miaka 22 lakini              mameonyesha uwezo mkubwa na kuzifanya timu kadhaa kumbariki.
        
Comments
Post a Comment