INIESTA, UMTITI SASA "WAKO FITI" KUIVAA REAL MADRID JUMAMOSI HII

INIESTA, UMTITI SASA "WAKO FITI" KUIVAA REAL MADRID JUMAMOSI HII
ANDRES Iniesta amepona goti aliloumia Oktoba na ameanza mazoezi mepesi na kikosi "A" cha Barcelona na hivyo kuleta matumaini ya kucheza mechi ya Clasco dhidi ya Real Madrid Jumamosi ijayo Desemba 3. Samuel Umtiti pia anatarajia kuwa tayari kwa mechi hiyo.

Comments