ENGLAND imeng'ara chini ya kocha mpya wa muda Gareth Southgate baada ya kuinyuka Scotland 3-0 katika mchezo wa kundi F wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia.
ENGLAND (4-2-3-1):Hart 6, Rose 7.5, Stones 7, Cahill 7, Walker 8, Dier 7, Henderson 7, Lallana 7, Rooney 7, Sterling 7.5, Sturridge 7 (Vardy 75, 6)
Wafungaji: Sturridge 24, Lallana 50, Cahill 61
SCOTLAND (4-2-3-1): Gordon 6, Anya 6.5 (Paterson 79), Wallace 6, Hanley 6.5, Berra 6, Morrison 5 (McArthur 66, 6), Brown 5.5, Darren Fletcher 6, Forrest 5.5, Snodgrass 6 (Ritchie 82), Griffiths 5.5
Daniel Sturridge akishangilia bao lake la dakika ya 23
Sturridge mshambuliaji nyota wa Liverpool akishuhudia mpira wake wa kichwa ukitinga wavuni
Sturridge kwa staili yake ya aina yake
Comments
Post a Comment