MSHAMBULIAJI wa              Nice ya Ufaransa, Mario Balotelli huenda akaitwa kucheza              kikosi cha timu ya taifa ya Italia baada ya kocha Giampiero              Ventura kuridhika na kiwango chake, hivyo kuwa tayari              kuziungumza.
        Balotelli              amecheza kikosi cha Italia mechi 33 na mara ya mwisho              aliitwa kuvaa jezi miaka miwili iliyopita.
        
Comments
Post a Comment