WESTHAM UNITED KUMSAJILI JUMLA SIMONE ZAZA WA JUVENTUS                                IMERIPOTIWA kuwa              Westham United wanaruhusiwa kumsajili Simone Zaza ikiwa              ataichezea klabu hiyo kwa mechi 10. Zaza alitua kwa mkopo              Westham akitokea serie A alikokuwa akikipiga katika klabu ya              Juventus.
                         
 
Comments
Post a Comment