VALENCIA, SEVILLA ZAMPIGANIA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN TAARIFA zimedaikuwa Valencia na Sevilla ziko kwenye vita nzito ya kumpigania staa wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain.
Tetesi hizo zimekuja ikiwa ni baada ya kiungo huyo raia wa England kutamka wazi kuwa anataka kuwakimbiaGunners.
Comments
Post a Comment