SAIDO BERAHINO KULAMBA MKATABA MNONO WEST BROM


SAIDO BERAHINO KULAMBA MKATABA MNONO WEST BROM
KOCHA wa West Brom, Tony Pulis amesema kuwa uongozi wa klabu hiyo uko tayari kumpa mkataba mnono wa muda mrefu straika wao, Saido Berahino (23).


Hatua hii imekuja baada ya mara kwa mara straika huyu wa kimataifa wa England kushinikiza kuondoka klabuni hapo.


Comments