Nyota huyo wa            Halland amecheza kwa dakika 12 tu kwenye Premier League msimu            huu na amekuwa lawamani kwa kushindwa kuonyesha ubora wake            tangu alipotua England msimu uliopita.
        Katika            msimu wake wa kwanza, Depay mwenye umri wa miaka 22 akaifungia            Manchester United mabao saba na kuachwa mbali na rekodi yake            ya magoli 28 aliyoifungia PSV Eindhoven kabla hajatua Old Trafford. 
        
Comments
Post a Comment