REAL MADRID imeifumua Legia Warsaw ya Poland kwa bao 5-1 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya huku Cristiano Ronaldo akitoka uwanjani bila goli licha ya timu yake kuangusha karamu ya magoli.
Katika mchezo huo wa kundi F, Gareth Bale ndiye aliyefungua kitabu cha magoli kunako dakika ya 16.
Real Madrid (4-3-3): Navas, Marcelo, Varane, Pepe, Danilo, Rodriguez (Vasquez 63), Asensio (Kovacic 79), Kroos, Ronaldo, Benzema, Bale (Morata 64).
Wafungaji: Bale 16, Jodlowiec (OG) 19, Asensio 37, Vazquez 68, Morata 84
Legia Warsaw (4-2-3-1): Malarz, Bereszynski, Czerwinski, Rzezniczak, Hlousek, Jodlowiec, Moulin (Kopczynski 81), Guilherme (Qazaishvili 74, Odjidja-Ofoe, Kucharczyk, Radovic (Nikolic 74).
Mfungaji: Radović (pen) 22
Gareth Bale baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza
Marcelo akishangilia bao la pili la Real Madrid
Comments
Post a Comment