MICHEZO: Samatta na Wanyama kushindania tuzo ya CAF


MICHEZO: Samatta na Wanyama kushindania tuzo ya CAF
Mbwana Ally Samatta huchezea KRC              Genk ya UbelgijiImage copyrightAFP/GETTY IMAGES
Image captionMbwana Ally Samatta huchezea KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayechezea soka ya kulipwa Ubelgiji Mbwana Ally Samatta ni miongoni mwa wachezaji 30 walioteuliwa kushindania Tuzo ya shirikisho la soka barani Afrika (CAF) ya Mchezaji Bora wa Afrika.


Samatta akicheza dhidi ya Sho              Sasaki wa Sanfrecce Hiroshima ya Japan Desemba 13, 2015Image copyrightAFP/GETTY
Image captionSamatta akicheza dhidi ya Sho Sasaki wa Sanfrecce Hiroshima ya Japan Desemba 13, 2015
Mkenya Victor Wanyama ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Tottenham pia ameteuliwa.
Kutoka DR Congo kuna Yannick Bolasie anayechezea Everton.

Orodha kamili hii hapa:

1. Riyad Mahrez (Algeria & Leicester City)
2. El Arabi Hillel Soudani (Algeria & Dinamo Zagreb)
3. Islam Slimani (Algeria & Leicester City)
4. Samuel Eto'o (Cameroon & Antalyaspor)
5. Benjamin Mounkandjo (Cameroon & Lorient)
6. Serge Aurier (Cote d'Ivoire & PSG)
7. Eric Bailly (Cote d'Ivoire & Manchester United)
8. Yao Kouasi Gervais 'Gervinho' (Cote d'Ivoire & Hebei Fortune)
9. Mohamed Salah (Egypt & Roma)
10. Mohamed El Neny (Egypt & Arsenal)
11. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Dortmund)
12. Andre Ayew (Ghana & West Ham)
13. Victor Wanyama (Kenya & Tottenham)
14. William Jebor (Liberia & Wydad Athletic Club)
15. Mehdi Benatia (Morocco & Juventus)
16. Hakim Ziyech (Morocco & Ajax)
17. John Mikel Obi (Nigeria & Chelsea)
18. Kelechi Iheanacho (Nigeria & Manchester City)
19. Ahmed Musa (Nigeria & Leicester City)
20. Cedric Bakambu (DR Congo & Villareal)
21. Yannick Bolasie (DR Congo & Everton)
22. Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
23. Kalidou Koulibaly (Senegal & Napoli)
24. Keegan Dolly (South Africa & Mamelodi Sundowns)
25. Itumeleng Khune (South Africa & Kaizer Chiefs)
26. Mbwana Samatta (Tanzania & Genk)
27. Aymen Abdennour Tunisia & Valencia)
28. Wahbi Khazri (Tunisia & Sunderland)
29. Dennis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
30. Khama Billiat (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns)


Comments