MESUT OZIL ATAMANI KUREJEA SANTIAGO BERNABEU



MESUT OZIL ATAMANI KUREJEA SANTIAGO BERNABEU
SIRI imefichuka kuwa licha Arsenal kuwa kwenye mazungumzo ya kumpa mkataba mpya staa wake Mesut Ozil, nyota huyo anataka kurejea Santiago Bernabeu.


Kabla ya kutua Emirates, Mjerumani huyo alikuwa akikipiga katika kikosi cha mabingwa hao wa La Liga.


Comments