WINGA wa              Manchestr United, Memphis Depay amejifananisha na straika              mpya wa klabu hiyo, Zlatan Ibrahimovic.
        Depay              anajifananisha na mkongwe huyo licha ya kucheza mechi tatu              pekee tangu kuanza kwa msimu huu.
        Depay alitua Old              Trafford akitokea Ajax kwa ada ya uhamisho wa pauni mil 25              lakini ameshindwa kuthibitisha ubora wake.
        
Comments
Post a Comment