MANCHESTER CITY KUMLAMBISHA FERNANDINHO MKATABA MPYA                        KWA mujibu wa              taarifa, ni siku chache tu zimebaki kabla ya kiungo              Fernandinho kupewa mkataba mpya na mabosi wake Manchester              City.
        
            
                Mkataba wa sasa              wa Mbrazil huyo wa Man City unakaribia kufikia tamati              mwishoni mwa msimu huu.
                         
 
Comments
Post a Comment