KOCHA MIKE PHELAN KUKABIDHIWA MIKOBA YA STEVE BRUCE

KOCHA MIKE PHELAN KUKABIDHIWA MIKOBA YA STEVE BRUCE
BAADA ya kuchukua kwa muda kibarua cha Steve Bruce, kocha Mike Phelan anatarajiwa kukabidhiwa rasmi kibarua hicho.

Baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa, wamiliki wa klabu hiyo wanataka kumpa mkataba mpya Phelan.

Comments