BEKI wa kimataifa wa Serbia, Branislav Ivanovic, 32, anaweza kuwa mchezaji wa kwanza kuuzwa na Antonio Conte katika dirisha dogo la usajili.
Conte yuko kwenye mipango ya kuimarisha safu yake ya ulinzi inayoonekana kuchoka na kuruhusu mabao mengi ya kizembe msimu huu.
Comments
Post a Comment