MMILIKI wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich amedai kuwa atashughulikia uhamisho wa beki Leonardo Bonucce anayekipiga Juventus.
Tajiri huyo amemhakikishia kocha Antonio Conte kuwa mlinzi huyo raia wa Italia atatua Stanford Bridge Julai.
Comments
Post a Comment