CHELSEA YAJIPANGA KUMNYAKUA OSCAR DE MARCOS WA ATHLETIC BILBAO IMEELEZWA kuwa matajiri wa magharibi mwa London, Chelsea wanataka kumsajili staa wa Athletic Bilbao, Oscar de Marcos.
Tarifa zimedai kuwa De Marcos anatarajiwa kutua Stanford Bridge wakati wa dirisha la usajili wa Januari.
Comments
Post a Comment