CAVANI AFIKISHA GOLI LA 13 KATIKA MECHI 10 LIGI KUU UFARANSA

CAVANI AFIKISHA GOLI LA 13 KATIKA MECHI 10 LIGI KUU UFARANSA

STRAIKA wa PSG, Ednson Cavani amefikisha magoli 13 katika mechi zake 10 zilizopita baada ya majuzi kutupia goli la ushindi wa 1-0 dhidi ya Lille katika Ligi Kuu Ufaransa.

Comments