Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm.
                Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na                Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Mwigulu Nchemba akiwa katika                Mazungumzo na Kocha wa Yanga aliyetangaza kujiuzulu                kuitumikia klabu hiyo hivi karibuni, Hans Van Pluijm na                kumtaka ajeree kwenye kibarua chake cha kuendelea kukinoa                kikosi cha Yanga kinachoshikilia Ubingwa wa Ligi Kuu                Tanzania Bara. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga,                Baraka Deusdedit.
        


Comments
Post a Comment