ARSENE WENGEA APASUA “SANCHEZ AKIZINGUA NAMMWAGA KIKOSINI”



ARSENE WENGEA APASUA "SANCHEZ AKIZINGUA NAMMWAGA KIKOSINI"

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema hampi upendeleo maalum straika Alexis Sanchez ambaye amefunga magoli manane katika mechi 13 msimu huu. "Akichemka natoa," alisema Wenger.


Comments