MAN UNITED YASUKA MKAKATI KUMNG'OA ISCO REAL MADRID ILI KUIMARISHA KIUNGO

MAN UNITED YASUKA MKAKATI KUMNG'OA ISCO REAL MADRID ILI KUIMARISHA KIUNGO
MKAKATI kabambe umesukwa na timu ya Manchester United ili kumsajili kiungo wa Real Madrid, Isco.

Mchezaji huyo mwenye miaka 24, raia wa Hispania anatakiwa kuja kuimarisha safu ya kiungo ya United ambayo imeshindwa kuwapikia nafasi za mabao washambuliaji wao.

Comments